LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 23, 2022

ZIARA YA RAIS DK. MWINYI WILAYA YA KATI MKOA KUSINI UNGUJA, LEO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizindumadarasa matatu ya Skuli ya Maandalizi Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF), chini ya Mkandarasi Kikosi cha Jeshi Zimamoto Zanzibar, akiwa katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wananchi, Walimu na Wanafunzi katika sherehe ya uzinduzi wa   madarasa mapya matano ya  Skuli ya Msingi  Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF), akiwa  katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, leo

Wanachama wa CCM, Walimu na Wanafunzi wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipozungumza nao leo katika sherehe ya uzinduzi wa madarasa mapya matano ya  Skuli ya Msingi  Unguja Ukuu yaliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  kwa ufadhili wa Mkopo nafuu wa Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani (IMF), akiwa  katika ziara ya Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,leo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages