LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 23, 2022

WAZIRI MKUU AKAGUA MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA JIJINI DODOMA, LEO

👆Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yatakayo fanyika Kitaifa Mkoani Dodoma Julai 25, 2022, kwenye viwanja vya Mashujaa jijini Dodoma. Julai 23, 2022. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)👇


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages