LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2022

WAZIRI NDALICHAKO AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VILIVYO CHINI YA TUCTA

P1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
P2
Mwenyekiti Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Tumaini Nyamhokya akieleza jambo wakati wa kikao na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
P5
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Adam Katundu akifafanua Jamabo wakati wa cha Ofisi hiyo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
P3
Katibu Mkuu TUCTA, Henry Mkunda, akieleza jambo wakati wa kikao cha Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.
P4
Baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), wakifuatilia kikao chao na Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, jijini Dodoma tarehe 18 Julai, 2022.

Na Mwandishi wetu 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Vyama vya Wafanyakazi vilivyopo katika Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), ambapo wameongozwa na rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya.

Kikao hicho ni mwendelezo wa Serikali katika kuendelea kushirikiana na TUCTA katika kustawisha maslahi ya wafanyakazi husasni wa sekta Binafsi nchini.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages