LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2022

WATCH TANZANIA INAKUALIKA KUSHIRIKI 'ZOOM MEETING' JULY 23rd, 2022

 Zoom Meeting

Saturday, July 23rd, 2022, 16:00 pm


Watch Tanzania  inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Julai 23, 2022 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12:30 jioni

Mada; 

Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana nchi za Mashariki ya Kati na Asia kwa Ujumla


Muda ukifika (Saa 10 kamili, Julai 23, 2022 - Jumamosi) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3PyIr7g


Au kupitia

Meeting ID: 849 9381 4897

Passcode: 078241

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages