LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2022

RAIS SAMIA AMTEUA DCI WAMBURA KUWA MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI (IGP)

Dar es Salaam.

Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Wambura na kumteua kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP).

Wambura alikuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Julai 20, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus Rais amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.

Taarifa kamili hiyo Hapo👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages