LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 15, 2022

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI KUMBUKIZI YA RAIS HAYATI MKAPA ZANZIBAR

 

Nimeshiriki Kumbukizi ya Mchango wa Hayati Benjamin Mkapa zinazofanyika mjini Zanzibar tarehe 13 hadi 14 July 2022. Pichani ni shughuli ya Chakula kuchangia shughuli zinazofanywa na Taasisi zilizoongozwa na Dr. Hussein Mwinyi, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Serikali.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages