LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2022

RIDHIWANI KIKWETE AMKABIDHI MAKAMU WA RAIS HATI 8 ZA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI+video


 

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makzi,Ridhiwani Kikwete akimuonesha Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpangp moja ya kati ya hati nane alizomkabidhi  kwa ajili ya Mapngo wa matumizi bora ya ardhi wakati wa ziara wilayani Tanganyika, Katavi.

                                     

 Ridhiwani Kikwete (Mb)-Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akitoa salamu kwa wananchi wa Kijiji cha Katuma Wilayani Tanganyika wakati wa ziara ya Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mkoani Katavi#KaziIendelee#SSH.






No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages