LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 31, 2022

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI GARI LA KUBEBEA WAGONJWA CHALINZE


Mbunge wa Chalinze, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amekagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na kukabidhi Gari la Kubebea Wagonjwa lililotolewa na Serikali  ya JMT. Gari hili ni mojawapo kati ya magari Manne yanayotarajiwa kufika katika Halmashauri hiyo. Serikali ya JMT imekwishatoa Shilingi Bilioni 2.1 kwa hospitali hiyo hadi sasa kujenga miundombinu na vifaa tiba.#KaziInaendelea #SSH






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages