LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2022

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATEMBELEA MAONESHO YA KIMATAIFA YA 46

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo Julai 4, 2022 atembelea Maonesho ya Kimataifa ya sabasaba Barabara ya kilwa Dar es Salaam ambapo alitembelea mabanda mbalimbali likiwemo Banda la Azania Bank akiongozana na baadhi ya Viongozi, kusho ni Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biasha. Dkt. Ashatu Kijaji na wamwisho kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegel. (PICHA NA KHAMISI MUSSA )

Kwanza Tumefurahishwa na ujio wa Mhe. Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kututembelea Azania Bank ambayo inamilikiwa na mifuko ya Kijamii

Hayo yamesemwa na Meneja Biashara Azania Bank, Majaba Magana waka akizungumza jambo mara baada ya kutembelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi na kuongozana na Viongozi mbalimbali akiwepo Waziri wa Uwekezaji  Viwanda na Biasha. Dkt. Ashatu Kijaji na wamwisho kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegel.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages