Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango akiwasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, akitokea nchini Ureno alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi wa Bahari na Rasilimali zake uliofanyika mjini Lisbon nchini humo.
Your Ad Spot
Jul 4, 2022
MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO AREJEA NCHINI KUTOKA LISBON NCHINI URENO, LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇