LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 11, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Victoria Kwakwa, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Victoria Kwakwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Victoria Kwakwa, pamoja na Ujumbe wao, baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11 Julai, 2022. (Picha za tukio lote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages