LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2022

RAIS SAMIA AFUNGUA JENGO LA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA CCBRT DAR ES SALAAM, LEO

 Rais Samia Suluhu Hassana kimpongeza Mwanawake aliyejifungua katika Jengo jipya la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto lililopo kwenye Hospitali ya CCBRT Jijini Dar es Salaam, alipofungua rasmi jengo hilo leo Julai 5, 2022. Pamoja na kumpongeza Mwanamke huyo pia alimpa zawadi pamoja na wanawake wengine aliokuta wamejifungua watoto.

Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akifungua rasmi Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Jijini Dar es Salaam, leo Julai 5, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akifunua bango maalum, kufungua rasmi Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya CCBRT Jijini Dar es Salaam, leo Julai 5, 2022. Kulia ni Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages