Mbunge wa Jimbo la Songwe, mkoani Songwe, Philip Mulugo akielezea mikakati yake kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo mara baada ya kuahirishwa kwa Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali Dodoma Juni 30, 2022.
Amepanga kufanya ziara Kata kwa kata kuelezea mafanikio yaliyomo kwenye Bajeti. Mambo yaliyomo kwenye Bajeti yanashangaza yamepiliza uzuri wake na kwamba sekta zote zinakwenda kutekelezwa kwenye bajeti hii. Rais Samia amefanya makubwa tena ya ajabu ndani ya mwaka wake mmoja na kwamba Bajeti hii ndiyo ya kwanza ya kwake.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mulugo akielezea kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇