Mbunge wa Kyala, Ali Jumbe amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea watanzania Bajeti bora inayowagusa hasa wananchi wa hali ya chini.
Aidha Jumbe ameelezea jinsi Bajeti hii itakavyoenda kutekeleza miradi lukuki katika jimbo la Kyela. Ameyazungumza hayo mara baada ya Bunge la Bajeti 2022/23 kumalizika juni 30, 2022 bungeni Dodoma.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ali Jumbe akielezea kuhusu miradi hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇