LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2022

KINANA KUANZA ZIARA MIKOA MINNE YA NYANDA ZA JUU KUSINI KESHO

Na CCM Blog
Makamu Mwenyekiti wa Chama ha Mapinduzi (CCM) Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana kesho Jumatatu, Julai 25, 2022, anaanza ziara ya kikazi katika mikoa minne ya Nyanda za Juu Kusini; Mbeya, Songwe, Rukwa na Katavi.

Kwa mujibu wa ratiba, Kinana ataanzia ziara hiyo katika mkoa wa Katavi (Julai 25, 2022) na kufuatia mikoa ya Rukwa (Julai 26, 2022), Songwe (Julai 27, 2022) na kumaliia mkoa wa Mbeya.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages