LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 6, 2022

JABIR MTOTO MWINGINE WA KITANZANIA ANAYETESA KWA SOKA ULAYA, AITWA AJAX+video

 



Mtoto Jabir Seif mwenye umri wa miaka 15 ambaye yupo  katika Academy ya SPF Valencia nchini Spain , ameonesha kipaji chake kikubwa katika soka kiasi cha hivi sasa kuitwa kujiunga na timu ya Ajax nchini Uholanzi ambako ataungana pia na wadodo zake Tariq (13) na Barka Seif (8) ambao pia wameitwa kwenye timu hiyo kutokana na umahiri wao katika mchezo huo.

Mtoto Barka hivi karibuni akiwa na familia yake na Kocha wake Martine alitambulishwa  bungeni Dodoma.

Jabir (kulia) akiwa na wadogo zake Tareq (kushoto), Barka pamoja na babao mzazi Seif Mpanda.

Mdau, nakuomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video, Jabir akifanya vitu vyake katika Academy ya SPF Spain....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages