LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2022

CHONGOLO AAGIZA NGAZI ZOTE ZA CCM KUWEKEZA KWENYE UCHUMI ILI ZIJIENDESHE+video


 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akitoa wito kwa ngazi zote za CCM kutoka shina, tawi, kata, wilaya, mkoa na makao makuu kuwekeza  kwenye uchumi ili zijiendeshe badala ya kutegemea hisani.

Ametoa wito huo alipokuwa akifungua mafunzo  ya itikadi, elimu ya sensa na ulinzi na usalama kwa viongozi wa CCM wa matawi na mashina waliochanguliwa hivi karibuni Mkoa wa Dodoma kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Julai 13,2022.

Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma Pili Augustino akielezea kuhusu umuhimu mafunzo hayo ya viongozi.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa akzinungumza maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.

Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa katika mafunzo hayo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chongolo akitoa agizo hilo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages