Wananchi wakiminika Banda la Taasisi hiyo lililopo viwanja vya Sabasaba Maonesho ya 46 ya Kimataifa Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2022
Baadhi ya Wafanyakazi wakiwa katika Picha ya pamoja.
Mama Mrema (wa pili kushoto) akiwa katika Picha ya pamoja na Familia yake mara baada ya kupata huduma Banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), lililopo viwanja vya Sabasaba Maonesho ya 46 ya Kimataifa Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2022
Baadhi ya Wananchi wakisaini Kita cha Wageni mara baada ya kupata huduma Banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), lililopo viwanja vya Sabasaba Maonesho ya 46 ya Kimataifa Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam leo Julai 7, 2022
Afisa Muuguzi Msaidizi Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zenais Ngowi (kulia), akitoa Elimu kwa Watoto walio fika Banda hilo la Moyo hasa kwa Exm Mtolilo kushoto. Mwanafunzi wa Kongowe Islamic Darasa la Sita Umri 11 ambaye alifika na kujione Moyo unafyo fanya kazi na hasa shauku yake na kuwa Dkt. wa Moyo ambapo alisema, Leo nimefka Sabasaba nikiwa na lengo la kufika Banda la Jakaya Kikwete na nilicho jifunza kwamba Moyo ni kiungo kikubwa katika mwili na kinafaya kazi kubwa katika mwili wa Binadam kwakumpa afya na kwa maendeleo mengine kama Damu na kinga, kwa maana hivyo nilijifunza mgonjwa akipata mshituko wa moyo unawezaje kumsaidia.
Mwananchi akipatiwa huduma
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇