LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 28, 2022

ASILIMIA 70 YA MAJERUHI WANAOTIBIWA MOI NI AJALI ZA BODABODA+video




Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya MOI Dkt. Respicious Boniface akiongea na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli za Taasisi hiyo na vipaumbele kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Julai 28, 2022 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma. Boniface ameelezea kwamba asilimia 70 ya majeruhi wanaotibiwa katika taasisi hiyo ni wanaotokana na ajali za Bodaboda, Bajaji. lakini pia ajali za magari.

Sehemu ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Boniface akielezea ajali hizo zinavyoongoza nchini....

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages