Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara awapambania wananchi waliokufa na wengine kudaiwa kupigwa risasi na askari wa hifadhi kwa madai ya kuingia kwenye hifadhi isivyo halali.
Waitara ametoa madai hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni Dodoma Juni 3, 2022.Spika, Dkt Tulia Ackson amempa Waitara siku nne hadi Jumanne ijayo kumpeleka ushahidi.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waitara akitoa malalamiko hayo bungeni...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇