LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 3, 2022

MBUNGE TADAYO: RAIS AMEUPIGA MWINGI ROYAL TOUR, WEWE UMEUPIGA WAPI?+video

Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo amepongeza juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuutangaza utalii wa Tanzania kupitia filamu ya Royal Tour, lakini pia amehoji, tunaposema Rais ameupiga mwingi, je wewe umeupiga wapi? Amehoji hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii bungeni Dodoma Juni 3, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Tadayo akichangia mjadala katika wizara hiyo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages