LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2022

TIMU ZILIZOFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U17 INDIA 2022


TIMU za Morocco, Nigeria na Tanzania ndiyo zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Fainali za Kombe la Dunia za Wasichana U17 baadaye mwaka huu nchini India.
Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Oktoba 11 hadi 30, mwaka huu nchini India.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages