Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson amefanya mazungumzo na vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM waliotoka kutalii Hifadhi ya Ngorongoro ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kuutangaza utalii kupitia filamu ya Royal Tour.
Amezungumza nao kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Juni 6, 2022.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇