Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo ameipongeza serikali kuleta Bajeti nzuri ambayo ni ya kihistoria na kimapinduzi.
Aidha amepongeza Rais na serikali anayoiongoza kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali jimboni kwake.
Ameyasema hayo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma juni 30, 2022 mara baada ya Bunge la Bajeti kumalizika.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sillo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti akielezea uzuri wa bajeti hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇