Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, Jackson Kiswaga amesema kuwa Bajeti ya mwaka huu ni nzuri ni mkombozi kwa wakulima.
Aidha amefurahishwa na mapinduzi makubwa kwenye miundombini ambapo barabara nyingi zitajengwa katika jimbo hilo.
Amemshukuru Rais Samia kwa kulipatia jimbo hilo fedha nyingi katika miradi mbalimbali ya maendeleona kuwataka watanzania kuifurahia bajeti hiyo.
Ameyasema leo kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma mara baada ya mkutano wa Bajeti Kuu ya serikali kumalizika.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kiswaga akielezea uzuri wa bajeti hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇