Mbunge wa Moshi Vijiji, Profesa Patrick Ndakidemi ameiomba serikali kurekebisha changamoto ya umeme katika jimbo la Moshi vijijini ambapo serikali kupitia kwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba amejibu kuwa wako mbioni kurekebisha changamoto hizo....
Profesa Ndakidemi amehoji utatuzi wa changamoto ya kufifia kwa umeme katika jimbo hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo Juni 10, 2022.....Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Profesa Ndakidemi akihoji bungeni juu ya changamoto hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇