Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila amehoji bungeni ni lini ujenzi wa Mahakama ya Songwe utamalizika na ujenzi wa Mahakama katika baadhi ya Kata wilayani Ileje utaanza?
Ameuliza swali hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo Juni 10, 2022 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda.....Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Neema akipambania suala hilo.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇