LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2022

RAIS DKT. MWINYI AZINDUA MRADI WA KISASA WA MICHEZO

   RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022, unaojengwa na Kampuni ya JHIL kutoka Nchini India.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihuubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa kisasa wa michezo “Zanzibar International Ckriket Club and Spotrs Complex” Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 3-6-2022., unaojengwa na Wawekezaji kutoka Nchini India.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Muwekezaji kutoka Nchini India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya JHIL Enterprises kutoka India Bw. Jilesh Hitmat Babla, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurungezi Mtendaji wa ZIPA Bw., Shariff Ali Shariff akizungumza na kutowa maelezo ya Uwekezaji wa Mradi wa Kisasa wa Michezo “Zanzibar International Criket Club and Sports Complex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo na Uwekaji wa Jiwe la Msingi, uliyofanyika katika eneo la ujenzi wa mradi huo leo 3-6-2022.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mwakilishi wa Kampuni ya JHIL kutoka India Bw,.Sunil Monohar Gavaskar, wakimsikiliza Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said, akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mradi na Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa mradi wa Kisaa wa Michezo “Zanzibar International Criket and Sports Comlex” unaojengwa katika eneo la Fumba Wilaya ya Magharibiu “B” Unguja.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages