LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2022

PICHA MAKAMU WA RAIS NA MFALME WA SWEDEN CARL GUSTAV

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mfalme wa Sweden Mtukufu Carl XVI Gustav wakati alipomtembelea na kufanya mazungumzo katika Nyumba ya Kifalme Stockholm nchini Sweden mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Stockholm +50 unaoendelea nchini Sweden.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages