LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2022

MTOTO BARKA NGULI WA SOKA DUNIANI ATAMBULISHWA BUNGENI+video

 Mtoto Barka Seif mwenye umri wa miaka 8 nguli wa soka la watoto Duniani, akiwa na kocha wake Martin Hammel na wazazi wake akitambulishwa na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson bungeni Dodoma Juni 27, 2022.


Kocha wa mtoto huyo Martin Hammel akitambulishwa bungeni.
Barka akihojiwa na vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
Barca akiwa na familia yake, babake Seif na mama yake Mwanaid pamoja na mdogo wake.

Kocha Martin Hammel raia wa Ujerumani Mkufunzi wa soka la watoto na vijana ngazi ya FIFA.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages