LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 6, 2022

MTENDAJI KATA YA HUZI, CHAMWINO MKOANI DODOMA WAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KWA ROYOL TOUR

Mtendaji wa Kata ya Huzi Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Azilongwa Bohari, akiwa na Vijana wenzake wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) walipotembelea Ngorongoro National Park, kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassani kwa Royal Tour. Wamesema wakiwa huko walifurahi na kufarijika sana kwa wingi wa watalii wa ndani na nje ya Tanzania waliowaona.





No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages