Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Makunduchi M. Hamis akizungumza na washiriki wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Rashidi Makame Shamsi akiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa Shirika la Shina INC wakiongozwa na Rais wa Shirika la SHINA INC, Jessica Mushala mara baada ya kuwasili kwenye kongamano la Vijana lililoandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la SHINA INC na linalofanyika kwa siku tatu katika eneo la Makunduchi, Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇