LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 7, 2022

KIGUA APONGEZWA KWA UWASILISHAJI VYEMA MAONI YA KAMATI YA BAJETI JUU YA UTEKELEZAJI BAJETI YA WIZARA YA FEDHA+video

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kidumu ya Bunge ya Bajeti, Mbunge wa Kilindi, Omary Kigua akiwasilisha taarifa ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango 2022/23 bungeni Dodoma leo Juni 7, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kigua akiwasilisha maoni hayo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages