Mbunge wa Viti Maalumu, Jane Jerry Ntate ametoa ushauri kwa serikali kutumia taarifa za kitambulisho cha Taifa (NIDA), ili kuwapunguzia usumbufu wananchi wanaohitaji Pasipoti. Aidha, ametahadharisha uamuzi wa serikali kupunguza mishahara ya watumishi watakaokuwa waamefanya makosa kazini na kwamba kitendo hicho kinaenda kusababisha migogoro baina ya vyama vya wafanyakazi na wizara ya kazi.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Jane Jerry akitoa ushauri wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇