LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 23, 2022

DKT MHAGAMA: KILIMO CHENYE TIJA KINAHITAJI MITAJI, ZANA BORA NA PEMBEJEO+video


Mbunge wa Madaba, Dkt Joseph Mhagama ameendesha somo bungeni kwamba Kilimo chenye tija kinahitaji mitaji, zana bora na bembejeo.

 Ametoa somo hilo alipokuwa akichangia mjadala wa hali ya uchumi wa Taifa na mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali Juni 23, 2022 bungeni Dodoma. 

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mhagama akitoa ushauri wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages