Dkt. Mbazingwa Mkiramweni wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam, (DIT) amebuni kifaa cha kupima kiasi cha hewa ya ukaa.
Mbazingwa akielezea kifaa hicho kinavyofanya kazi kwa kutoa taarifa ya kiwango cha hewa ya ukaa iliyopo katika eneo husika. Mbazingwa ni mmoja wa washiriki wa Banda la DIT katika Maonesho ya Mafunzo ya Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi yanayoendelea kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbazingwa akielezea jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi.....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇