Mgeni rasmi Katibu Mtendaji wa BAKIZA (Baraza la KIswahili Zanzibar) Dkt. Mwanahija Ali Juma akimuwakilisha Mwenyekiti wa BAKIZA, Dkt. Muhammed Seif Khatib, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya Vitabu (BOOK FAIR) uliofanyika shule ya secondary Feza Zanzibar. Kushoto ni Mwandishi wa vitabu vya fasihi, Richard Mabala, na Nahida Esmail mwandishi wa vitabu vya fasihi akiwa na mkuu wa shule za Feza Zanzibar, Ally Nungu sherehe hizo zimefanyika katika Shule ya Feza Zanzibar..
Mkuu wa Shule ya Feza Zanzibar, Ally Nungu akiwa anapitia vitabu tofauti kusoma hadith tofauti akiwa na katibu mtendaji wa Bakita, Mwanahija Ali.
Baadhi ya wanafunzi wa shule za Feza Zanzibar wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye maonesho ya vitabu tofauti vya waandishi mahiri nchin Tanzania yaliyofanyika katika Shule ya Feza Zanzibar.
PICHA NA ASHRACK MIRAJI
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇