Serikali kwa mwaka ujao wa 2022/2023 imetenga sh. bil. 5 kuendeleza ubunifu nchini.
Mkurugenzi wa Sayansi, Teknoloji na Ubunifu wa wizara hiyo, Profesa Maulilio Kipanyula akifafamua jambo kuhusu maendeleo ya ubunifu nchini. |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Silvia Lupembe akitoa utambulisho wa viongozi waliokaa meza kuu. |
Mkurugenzi Msaidizi wa Sayansi na Teknolojia wa wizara hiyo, Alexander Mtawa akielezea kuhusu maandalizi ya Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022 inayotarajiwa kuanza Mei 15 hadi 20 jijini Dodoma. |
Mtangazaji wa Uhuru FM, Sakina Abdulmasoud akitoa shukrani kwa niaba ya waandishi wa habari waliohudhuria semina hiyo.
Waandishi wa habari wakiwa kwenye semina hiyo ya kuwajengea uelewa kuhusu Wiki ya Ubunifu.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue kilichozungumzwa katika semina hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇