LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS NYERERE+video

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere linalofanyika leo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

PICHANI; Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Kongamano hilo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Hayati Nyerere Mkoa wa Dodoma, Peter Mavunde akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu maandalizi ya kongamano. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Taasisi hiyo, Neema Mkwachu na Anna Khamis Katibu wa Taasisi Mkoa wa Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mavunde akizungumzia maandalizi hayo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages