LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2022

PALLANGYO AIMWAGIA PONGEZI WIZARA YA MAJI KWA KAZI NZURI+video

 Mbunge wa Arumeru Mashariki, Profesa John Pallangyo ameipongeza Wizara ya Maji kwa kazi nzuri ya utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini ikiwemp jimboni kwake.

Pongezi hizo amezitoa alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Mei 13, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Pallangyo akitoa pongezi hizo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages