Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wabunge kutoa maoni ya mabadiliko ya sera na mitaala ya elimu nchini katika Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 7, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Eliamani Sedoyeka na Mwenyekiti wa Kamti ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo.
Mbunge wa Nyasa, Mhandisi Stellah Manyanya
Mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo
Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwalimu Bernadetha Mshashu
Mbunge wa Ubungo, Dkt. Kitila Mkumbo
Baadhi ya wabunge na wadau wa elimuMdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video wabunge wakitoa michango yao.....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇