Mbunge wa Viti Maalumu Mhandisi Mwanahamisi Ulenge akitoa maoni yake katika mkutano wa wabunge amesema kuwa kama nchi inabidi kuamua kutenga miaka 15 ya kutengeneza kizazi maalumu kukiendeleza kielimu.
Pamoja na mambo mengine ametoa maoni hayo wakati wa mkutano huo wa wabunge kuchangia maoni yao kuhusu maboresho ya Sera na Mitaala ya Elimu nchini. Mkutano huo ulioandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ulifanyika katika Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 7, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ulenge akitoa maoni yake....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇