LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 21, 2022

ULENGE:WIZI WA MITANDAONI NI TISHIO NCHINI, UDHIBITIWE HARAKA+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga, Mhandisi Mwanaisha Ulenge ameishauri serikali kufanya haraka kutengeneza mfumo wa kuzuia mapema wizi wa mitandaoni.

Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari bungeni Dodoma Mei 20, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ulenge akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages