LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 21, 2022

BAJETI YA ZAIDI YA SH. BIL. 280 WIZARA YA HABARI YAPITISHWA BUNGENI+video


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu wake, Mhandisi Kundo Mathew wakipongezwa na wabunge wenzao pamoja na mawaziri baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa bungeni Dodoma Mei 20, 2022
Nape akihitimisha mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara yake


Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo  akijibu baadhi ya hoja za wabunge.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Nape akihitimisha hoja ya Bajeti ya wizara  hiyo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages