LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2022

RAIS MWINYI KUFUNGUA WIKI YA UBUNIFU DODOMA+video

 

 Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania itakayoanza Mei 15, 2022 na kufungwa na Makamu wa Rais,, Dkt Phillip Mapango Mei 19 kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Viongozi hao wametajwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojis, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya wiki hiyo Mei 12, 2022 jijini Dodoma.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mkenda akielezea kuhusu maandalizi hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages