LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2022

MAYENGA: FANYENI UTAFITI KUHUSU SINDANO YA NUSU KAPUTI INAYOSABABISHA MAUMIVU KWA WAJAWAZITO WANAPOJIFUNGUA+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga ameishauri serikali kufanya utafiti wa sindano ya nusu kaputi inayosababisha maumivu makali kwa wajawazito wanaofanyiwa upasuaji wanapojifungua.

Ametoa ushauri huo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 12, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Lucy Mayenga akitoa ushauri wake huo.....


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages