LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 20, 2022

NAIBU WAZIRI BALOZI MBAROUK ASINI KITABU CHA MAOMBOLEZO Y KIFO CHA RAIS W UAE SHEIKH KHLIFA BIN ZAYED BIN SULTN AL NAHYAN


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini Kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan, katika Ubalozi wa nchi hiyo Jijini Dar es Salaam, leo.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiteta jambo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Balozi Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisindikizwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Balozi Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages