LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 14, 2022

MZEE PINDA AZINDUA TAASISI KITAIFA YA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA HAYATI NYERERE+video

 

Waziri Mkuu mstaafu, Mzee Mizengo Pinda akizindua Taasisi ya Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kongamano la kumbukizi ya miaka 100 lililofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Mzee pinda akizindua Katiba ya Taasisi hiyo.

Baadhi ya watendaji wa Taasisi hiyo
Meya wa Jiji la Dodoma,  Profesa Davis Mwamfupe  akiendesha mada kuhusu mawazo ya Hayati Nyerere ya kuhamishia Dodoma makao makuu ya chama na serikali.

Anna Tibaijuka akiendesha mada  Mwalimu Nyerere na masuala ya kimataifa
Profesa Palamagamba Kabudi  akiendesha mada kuhusu  uendelezaji na uimarishaji wa  misingi ya amani na  mshikamano wa kitaifa uliowekwa na Mwalimu Nyerere/
Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa akitoa salamu za 
 CCM 
Mzee Phillip Mangula akielezea jinsi alivyofanya kazi na Mwalimu Nyerere.
Vyombo vya ulinzi na usalama

Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mkoa wa Dodoma, Peter Mavunde
Baadhi ya wananchi waliohudhuria kongamano hilo



Mze Pinda akimkabidhi katiba ya taasisi hiyo, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini.

Mwakilishi wa vyombo vya usalama akikabidhiwa katiba

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue yaliyojiri

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages