LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 15, 2022

MAMA SALMA KIKWETE AISHUKURU WIZARA YA MAJI KWA KUPELEKA MIRADI KEDEKEDE YA MAJI MCHINGA+video

 Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Mama Salma Kikwete ameishukuru wizara ya Maji kwa kupeleka miradi kedekede ya maji katika jimbi hilo.


Shukrani hizo ameztoa alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma, Mei 13, 2022.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mama Salma akitoa shukrani hizo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages