Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Malaigwanani kutoka Tarafa za Ngorongoro, Loliondo na Sale wilayani Ngorongoro baada ya kupokea mapendekezo ya mwananchi kuhusu namna bora ya uhifadhi katika tarafa hizo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 25, 2022. Kulia wake ni Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Sangay na kushoto wake ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Ole Senge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
May 26, 2022
Home
featured
Kitaifa
MAJALIWA APOKEA MAPENDEKEZO YA NAMNA YA KUDUMISHA UHIFADHI KUTOKA KWA WANANCHI WA NGORONGORO, SALE NA LOLIONDO
MAJALIWA APOKEA MAPENDEKEZO YA NAMNA YA KUDUMISHA UHIFADHI KUTOKA KWA WANANCHI WA NGORONGORO, SALE NA LOLIONDO
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇